Jaji mkuu ajitoa kwenye kesi ya Lema watakao kuwa kwenye kesi hiyo tar 4 ni Bernad luanda,Nathalia Kimaro,Salimu Masati,ni baada ya kukataa kuhukumu kwa mashinikizo ya watu yeye kadai hataki Dhambi itakayokuja kuulizwa na Mungu akashindwa kujibu.
Post a Comment