Header Ads

test

MWANAMKE ALIYEJICHUKIA KUTOKANA NAUNENE WAKE

Lanoise,alizaliwa  Haiti, alianza kuongezeka uzito akiwa na miaka 16, baada ya hapo alijigungua mtoto wake wa kwanza.
"Nilikuwa nimwanamke mwembamba sana na unene wangu ulinaza baada ya mm kijufungua mwanangu wa kwanza.’.Maisha yake yote yameshia kukaa kwenye kochi kwani hawezi kabisa kutembea napia huwa anakosa kabisa nguo zinazomtosha.
Alianza kupata umaarufu kwenye vyombo vya habari baada yakutokea kwamtetemeko wa ardhi mnamo mwaka 2010 baada yakutakiwa kukaa ndani kwa miezi mitatu kwani ndege ilishindwa kumbeba kutokan nauzito wake
Amekuwa akilishwa,akiogeshwa na akivishwa na mwanaye.
Alifariki mwezi wa tatu.