Header Ads

test

TIZAMA BAADHI YA PICHA WAKATI WA UTENGENEZAJI WA NATAKA KULEWA (DIAMOND)


Haya ni maandalizi ya awali yakifanyika,Mafundi wakifunga vyombo vya muziki n.k
Director Raqey toka I-VIEW akifanya yake pia...
Hawa ni baadhi ya Models waliyoshiriki katika Video hii....
Esma Khan
Lady Naa
Super Model Nance
Jully
Hapa Wasafi tukitupia nini na nini...
Mose Iyobo
Dumi Utamu
Mose Iyobo,Emma Platnumz & Rama (Wasafii)
Hata mimi kiti hiki kilikuwa kinanihusu pia....


Nikifanya Interview na Martin Kadinda

Me,Raqey & Martin
Ndio kwanza shughuri imeanza ....Platnenga tena nikujipigia tu Drums


Mose Iyobo




Emma Platnumz

Dumi Utamu





Nisha kageuka kuwa Pedeshee wa Kike nikumwaga minoti tu LOL!
& Ma` Sister Esma
by diamond website