Header Ads

test

HUYU NDO PAPA MPYA

jorge mario bergoglio 76, wa arjentina ndo papa mpya
Atakuwa akiitwa papa Francis







Getty Images






Anakuwa papa wa kwanza kabisa kutoka south america papa huyu amechaguliwa na makadinali 115 waliokutana kwaajili ya kumchagua papa atakayeliongoza kanisa katoliki duniani kote..
 Kwamara nne mfufululizo kura zilipogwa ila ikaishi kutokupatikana kwapapa na hivyokubakia kuvuka kwa moshi mweusi..
Papa huyu amechagulia kwa zaidi ya kura 77 ambazo ndizo idadi ya chini yakura anazotakiwa kupata papa atakayechaguliwa..
papa Francis ataishi katika nyumba yamuda karibu na yalipo makazi yakudumu ya nyumba ya mapapa wote waliochaguliwa,Ataishi hapo mpaka pale nyumba hiyo itakapofanyiwa marekebisho mapya na kufunguliwa kwaajili yake
  Atakuwa ni papa wa 266

TIZAMA VIDEO HAPA AKIWA ANATANGAZWA RASMI NAAKIWA ANAWAHUTUBIA WAKATOLIKI WOTE