Header Ads

test

Mwanamke akata uume wa mume wake na kuutupa.

  • Catherine Kieu, 50, akutwa na kosa la kushambulia alilolifanya July, 201.
  • alimuhisi mume wake anampenzi mwingine nakujikuta akifanya hayo yote kutokana na wivu uliopindukia.
  • uume alioukata umeshindwa kurudishwa kwamume wake na hivyo kupelekea mume kufanyiwa upasuaji ili aweze kukojoa..
  • Atahukumiwa kifungo chamaisha.
  Catherine Kieu, pictured, is accused of drugging her husband, tying him up, and cutting off his penis with a knifeMumewe mwenye umri wa miaka 60 amedai kuwa uume wake hauwezi kurudishwa kwake na madaktari nahivyokumpelekea kuhisi nikama ameuliwa..

Kwahabari kutoka kwa polisi zinadai kuwa mwanamke huyo alimlewesha mume wake kwa vidonge vya usingizi...Baada ya mda kupita mume alishtuka toka usingizi nakujikuta amefungiwa kitandani kisha alimsikia mke wake Kieu akipaza sauti huku akisema "NIHALALI YAKO" kisha akachukua kisu kikali na kuukata uume huo huku mwanaume huyo akishuhudia uume wake ukikatwa na mke wake..Baada ya kitendo hicho cha kikatili mwanamke huyo aliuchukua uume huo na kuupeleka jikoni kisha akautupa katika chombo cha kuhifadhia uchafu nakuwapigia simu polisi..

Habari zinazidi kuripoti yakuwa Kieu alifanya tendo hilo lakikatili kutokana na wivu aliokuwa nao hasa baada ya mumewe wake huyo kutaka kumtaliki na kurudiana na mpenzi wake wa zamani.


Upande wa utetezi unadai kuwa Kieu anamatatizo ya akili nandomana ametenda tendo hilo..

The jury on Catherine Kieu's trial begin deliberations next Monday. She faces a life sentence for the attack
Kieu's husband said it felt as if he'd been 'murdered'

Catherine Kieu sits next to her attorney, deputy public defender, Frank Bittar in court
Catherine Kieu sits next to her attorney, deputy public defender, Frank Bittar in court. He said she is a "shattered woman"