Header Ads

test

MSANII NGWAIR AFARIKI DUNIA

HABARI zilizotufikia na zilizoenea katika mitandao ya kijamii zinadai msanii MANGWEA amefariki dunia huko South Africa chanzo kinadai kuwa Msanii ALBERT MANGWEA (Ngwair), amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini, rafiki anasema hakuamka toka jana alipolala. kwa habari tulizopata ambazo sio rasmi nikuwa alijioverdose kwa kutumia madawa ya kulevya.
TUTAZIDI KUFUATILI HABARI HII.