Header Ads

test

HUYU NDIYE BINADAMU ALITEMBEA NA NYUMBA YAKE KWA MIAKA 5 AKIIEBEBA

Anaitwa Liu Lingchao nimchina ambaye amekuwa akitembea kwa  zaidi ya miaka mitano sasa akiibeba nyumba yake mabegani na kuzunguka nayo kutoka sehemu moja kwenda nyingine.






hapa ni usiku na akijipikia chakula