Header Ads

test

UPDATES ZA UAGAJI WA MWILI WA MAREHEMU MANGWEA

UPDATES ZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEHA
-Kwa sasa mwili wa marehemu upo katika Viwanja vya Leaders na umefika mahali hapo saa mbili kamili asubuhi
-Zoezi la kuaga mwili wa marehemu bado halijaanza ila litaanza muda wowote
-Watu wanazidi kumiminika katika Viwanja vya Leaders
-Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo ,Dk.Fenella Mukangara naye anatarajiwa kuwa miongoni mwa watu watakaofika eneo hilo kuaga mwili wa Mangweha
-Baada ya shughuli za kuaga, mwili wa marehemu utapelekwa mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika nyumbani kwao Kihonda hapo kesho


MWILI UKIWASILI
NDUGU WA MAREHEMU

ZOEZILILKIENDELEA
WATU WALIOJITOKEZA UANJANI KUUAGA MWILI




moja ya watu waliopoteza fahamau


HUKO MOROGORO MWILI UTAKAPOENDA KUZIKWA HALI IKO HIVI






USISAHAU KUTEMBELEA POST HII TUTAKUWA TUKIIUPDATE KILA BAADA YA MUDA KWA PICHA NYINGI ZAIDI