KWANINI WANAUME HUNUNUA MAPENZI
Kwa nini wanaume hununua sex?
Mwanaume
anaondoka na kwenda kumtafuta mwanamke wa kumlipa fedha ili ampe sex
bila kuhusisha upendo au mahusiano wala kuhusisha hisia kati ya wawili.
Suala
la wanawake Malaya (prostitutes) kuua mwili kwa wanaume ni suala la
dulia zima haijalishi ni mzungu au mweusi au muasia, wasomi na wasio
wasomi, maskini na matajiri, waliooa na ambao hawajaoa wote wamekuwa
wakijihusisha na hii tabia.
Wanaume
walioulizwa kwa nini wanaenda kununua sex wengi walitoa Sababu
zifuatazo Ingawa walikiri kwamba wakati wa sex na hao Malaya huwa
wanajisikia aibu, hatia, na hisia hasi kulipa ili upate sex.
Sababu kubwa ya wanaume kununua mapenzi wengi walikiri ni kumridhisha hitaji ya sex na raha yake kwa wakati ule (32%)
Waliofuatia walisema Sababu kubwa ni kutaka kupata ladha Tofauti ya mwanamke (21%)
Wengine walikiri kwamba wanaenda kununua sex kwa Sababu hawapati kile wanahitaji kutoka kwa wake zao nyumbani (20%)
Wengine walikiri kwamba ni kwa Sababu wao wana fedha na Malaya wanapatikana bila Tatizo (15%)
Asilimia 8 walikiri kwamba wananunua sex kwa Malaya kwa Sababu ya kufurahia tu sex (thrill/surprise) wanayopata
Na asilimia 3 walikiri kwamba kununua sex kwa Malaya ni addiction ambayo imo ndani yao kama walivyo walevi au wavuta sigara.
Je, hawa wanaume hufanyia wapi hivi vitendo vyao ya kununua sex na Malaya?
Wengi
walikiri kwamba sehemu ambazo unaweza kununua sex kwa Malaya ni kwenye
danguro (60%), sehemu za kufanya massage (47%), wana
otoa huduma za
kusindikiza (33%) na Saunas (27%).
Sehemu zingine ni makaburini, kwenye magari na wakati mwingine huchukuliwa majumbani kwa hao wanaume.
Hata
hivyo cha ajabu ni kwamba hawa wanaume wanakiri kwamba kama Hakuna
Malaya wa wao kununua sex wangeweza kubaka kama Hakuna kukamatwa na
wanaamini kwamba hawa Malaya hawana haki au kuongea chochote wakati wa
sex kwa kuwa wamewanunua.
Je, hawa wanaume hupata kitu gani kwa hawa Malaya wanaowauzia sex?
Wengi
wanakiri kwamba Hakuna kipya wanakipata kwa hawa Malaya na baada ya sex
hujikuta wapo empty moyoni, aibu na kujutia matumizi ovyo ya fedha hata
hivyo cha ajabu pamoja na kujisikia vibaya bado wanaendelea kwenda
kununua hiyo huduma.
Hata
hivyo wapo wanaume ambao wamekiri wazi kwamba hawajui namna ya
kujihusisha na mwanamke na kufanya bonding ya mapenzi hivyo njia rahisi
kwao ni kulipa na kumpata huyo Malaya.
Je, Malaya nao hufurahia sex Wakiwa na wateja wao
Mmoja
ya mteja amesema si sahihi kwa Malaya kupata raha ya sex kwa kuwa hana
haki Kwani ameuza na kazi yake ni kumpa raha aliyenunua vinginevyo
utakuwa ni uchakachuaji.
Je, wanawake Malaya wana sifa Tofauti na wanawake wengine?
Wazoefu
ya hiyo huduma wanakiri kwamba ni kweli wanao uwezo wa kufanya vitu
ambavyo mwanamke wa kawaida hawezi kuvifanya kwa mwanaume vitendo
ambavyo wengine huviona kama vinachefua.via mbilinyi
Post a Comment