Mbunifu Wa Mavazi Aitwaye Manel TorresAbuni Nguo Itokanayo Na Spray
Leo katika Fashion tunawaletea kwenu mbunifu wa mavazi aitwaye Manel Torres ambaye ameweza kufanikiwa kutengeneza nguo ambayo unapuliziwa kutoka kwenye spray.
Unaenda kifua wazi kisha unapuliziwa mchanganyiko maalum ambao ukikaukia mwilini baada ya muda huganda na kuwa nguo..
Tizama Picha Hapo chini
Kutoka kwa maelezo yake anadai nguo hii inauwezo wa kufuliwa na kuvaliwa tena..
TIZAMA VIDEO

Post a Comment