LADIES:Mambo 14 Yatakayomfanya Mwanaume Akuache.
Karibuni wasomaji wetu katika Globu yenu hii.Leo katia mahusiano tumeona tuongelee Mambo14 yanayoweza mfanya mwanaume asiwenamuda nawewe Mwanamke.
Iko wazi kwamba mahusiano yanahitaji elimu,mahusiano yanahitaji uelewa sio unakurupuka tuu na kuamua kujiingiza kwenye mahusiano pasipokuwa nauelewa wowote nivizuri kuelewa zile keys muhimu za kukuwezesha wewe km binadamu kuweza kuishi na mwenza wako.
Tuanze kwa kuangazia point Yetu ya kwanza.\
1.KUTOKU HESHIMU FAMILIA YAKO.
Najua wanawake wengi watashangaa sana kuhusu hii point ila niukweli kwamba mwanaume anaweza kuwa na wasiwasi mkubwa sana nawewe akijua huwaheshimu wazazi wako hasa mama yako.kama tujuavyo wanaume wengi wanawapenda sn mama zao nakuwaheshimu kwahiyo atashangaa sana kuona unazozana na mama yako kama unajijua unamzozo na mama yako nakushauri usizungumze naye mbele yake.
2.PICHA ZAKO ZOTE NIZA CLUBBING(sehemu za starehe)
This screams the opposite of girlfriend/wife material. Embu fikiria mwenyewe mwanaume anatafuta mwanamke mwenye heshima afu siku anakaa nawewe anatizama picha zako afu anakuta picha zako zote umepiga uko maeneo ya starehe unakunywa,popping champagne,uko na watu mbalimbali mara mmeshikana viuno mmekumbatiana Hii itamfanya afikirie starehe kwako ndo kitu cha kwanza na muhimu mahusiano na mengineyo ndo hufuata ila kwako starehe ndo kila kitu.
3.UNAONGEA SANA KUHUSU EX WAKO(MTALAKA)
Hii huwapa wanaume wengi wengi wasiwasi nasio wasiwasi tuu huwakasirisha pia. Haiwezekani umekaa na mwanaume wako badala umsifie au uongelee kitu flani kuhusu yeye unaanza kujiachia kwakuongelee kuhusu uliyokuwa unafanyiwa na ex wako hapo utautibua mtima wake japo wengi hawatonesha kukwazika lakini ukweli ukipata nafasi yakuiona mioyo yao kwa muda huu nidhahiri utaona alivyokwazika. Sahau kuhusu ex wako na matendo yake kama ex wako alikuw akikunulia gauni huyu akakunulia viatu afu unaaza kumwambia yule alikuwa ananiletea full dresses utamuumiza sana km ulikubali kumpenda basi kubaliana naye kwakila hali badala ya kumtaja ex wako tumia njia nyingine mbadala ya kumuelezea next time akunulilie full dresses.
Sio nguo hata linapokuja suala la romance au sex ukiona ameperform tofauti na utakavyo au ulivyozoea tumia busara kumuelezea unavyotaka yeye akufanyie ukiona ningumu kumuamabia tafuta makala maalum kwenye magazeti au internet muite usome naye najua atakuelewa tuu.
4.HUJUI KUPIKA.
Mwanamke mapishi bana asikudanganye mtu eti mwanamke uzuri wanaume hudata zaidi na mwanamke mwenye mautundu jikoni. Udhaifu mkubwa wa mwanaume ni chakula labda hilo ulikuwa hulijui leo ndo nikuambie ujue. siku moja tukiwa tumekaa na marafiki zangu tukipiga stori wengi walikiri kuwa hawataweza kuoana na mwanamke asiejua kupika. mmoja alisema "Hivi itakuwaje niwe namwanamke mzuri afu asijue kupika marafiki wakinitembelea wanakuta kituko juu ya mweza niafadhali awe na mvuto wa kawaida ila jikoni ajue maanjumati" Sasa niende kwenye point yenyewe kupika sio mpaka umepika pilau yenye harufu nzuri lahasha nilazima ujue upishi wakisasa nasio wakukariri ujue kucheza nasusfuria za jikoni kupika vyakulambalimbali sio umejitahidi kupika afu juu ya meza kunakuwepo na hotpot moja tuu la pilau nilazima kuwepo na hotpot zaidi ya moja wale waelewa najua washaelewa namaanisha nn.
5. HUJIAMNI
Hii nipoint muhimu sana kutokujiamini kwa mwanaume wako kunaweza kumboa sana mwanume wako nilazima ujifunze kumuamini na wewe ujiamini sio kila saa unakuwa nawasiwasi na mashaka ukimuona yuko namarafiki wakike basi wewe full makelele na maneno ya chinichini,ukiona anacheka kwenye simu moyo umeshtuka,ukiona anaangaliwa na wengine unakosa raha unaanza kumhoji na kmbadilisha hivinahivi ilimradi tuu ww uwe na amani.jifunze kujiamini usije kuboa.
6. WATHAMANI
Nimeshindwa kupata point maalum ya kuweka hapa nikatumia neno wa thamani yani hapa nataka uelewe kuwa nivizuri kuwa mtu wakawaida uwapo na mpenzi wako sio unajifanya matawi ya juu kila muda lets assume mmepita mahali penye kiosiki akajisikia kununua chips hapo basi wewe unaanza kulalamika Jamani bby hizi chips sio chips twende pale hotelini tukanunue kwani yeye alipoamua kwenda kununua pale hakujua hiyo itamfanya ajue wewe sio mwanamke wa hali zote nilazima ukubaliane nahali zote.
7.HUJUI KUJITENGENEZEA
Hapa sizungumzii hujui kujiremba ama kuvaa bali nataka ujue yakuwa mwanaume huwanaaibu sana pindi waonapo wanawake wao wanaotembea nao hawajui kujipangilia kimwili na kimavazi. Mfano unakuta mwanaume kaja kukupitia muende out ile unatoka tuu umevaa kigauni kifupiii,High-heels nazo zinakupelekesha hutembei kwa amani,jicho umesimamisha mikope yako ya bandia,umechonga minyusi yako mpaka imetokeza kama unaendi igiza muvi ya kutisha,umejipiga ma makeup yasiyoeleweka. Nilazima ujifunze kuvaa na kujipangilia kwa mpangilio vaa vizuri. Hapo utajipa tiketi yakuachika mwenyeweeee.
8 UNANG'ANG'ANIA MAWASILIANO
Kwamfano mpenzi wako amekaa nusu siku hajakutext wala kukupigia basi wewe unantext hey are u dead??!! wanaume wengi hawapendi stress muulize kwa upole na tumia maneno mazuri kumuuliza kwann yuko kimya nasio unaropoka tuu.
9.MTU WA KUROPOKA
Mtu wakuropoka nimtu asiyekuwa na siri wanaume wengi hupendelea wanawake wanaojua kuhifadhi siri kama mmeongelea kitu chawawili basi kiwe cha wawili tuu sio unaleta zile za ushosti ukikutana wenzako unaanza kuwasimulia mliyoyafanya na kuwaelezea siri za jamaa. Akigundua unatabia hizo utakuwa katika wakati mgumu mno.
10.MTU WA KUPAYUKA(USIYENAHESHIMA)
Kama wewe nimwanamke unayependa kunguruma kwa mwanaume wako jua tabia hiyo sio nzuri wanaume wapendi kupayukiwa na kupandishiwa sauti.
Many men have a no-yelling rule. And if you break it just once, you’re out. Some guys have no tolerance for a woman with a temper, and yelling is the ultimate sign of losing yours.
11. MLEVI KUPITILIZA
Unadani wanaume wanapenda wanawake walevi?? Hapana. Asilimia nyingi wanaume wengi hawapendi wanawake walevi hujanyimwa kunywa pombe ila nivibaya kulewa hadi kushindwa kujielewa unalewa hadi hujitambui hiyo tabia itamfanya ashindwe kuwa naamani naww hasa anapokuwa mbali naww anaanajua uko mahali unakunywa.
12.YOU HAVE A PROMISCUOUS PAST
You never cheated on anyone, and you were always safe about your health, but you got around in your day. For some men, this is a no-go. It doesn’t matter how respectable and nice you are now; they just can’t handle a woman with a reputation like that.
13. YOU’RE NOT INTO PDA(Pathological demand avoidance)
Men like to set the pace on PDA. Even if they’re not really into it, they don’t like when a woman completely keeps her hands off them in public. They like to have the option for PDA, should the mood strike them. Having you set the pace makes them feel emasculated, and neglected.
14. YOU DON’T TAKE HIS SIDE IN PUBLIC
It’s okay if you think what he just said is completely stupid, uneducated and juvenile. But you are not to say that in front of other people. If he backs himself into a wall, you go pry him out. You don’t line up with the others to laugh at him. Most men won’t stand for this.
Samahani tumechanganya na Lugha Ya Kiingereza ilikuweza kuweka maana nzuri na yenye maana fupi.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KAMA UMEFURAHIA TIPS HII
Kama ungependa kuzungumza na sisi au kushaurina kuhusu mahusiano au matatizo yeyote ya kimahusiano tuandikie kupitia email yetu nyumbayahabari@yahoo.com
Post a Comment