MSANII J MARTINS WA NIGERIA AFUNGA NDOA TIZAMA PICHA ZOTE HAPA
Msanii na produza maarufu J Martins (Jina lake halisi: Martins
Okey Justice) amefunga ndoa ya kisirisiri na mpenzi wake aitwaye Nnezi Mbila baada ya kufunga ndoa ya kimila mwezi januari. ndoa hiyo ilifunga tarehe 30 /5/2013
photos from maestromedia
Post a Comment