Header Ads

test

HII NDO MOVIE YA KIMATAIFA ALIYOIGIZA MAREHEMU SHAROMILLIONEA


Wengi wetu tumekuwa tukizitizama movie za kitanzania.. kama nimpenzi mkubwa wa bongo movie basi bila shaka ushawahi kutuitizama hii movie inayoitwa CHUMO klwangu mm movie imeigizwa kwa ubora na umakini wahali yajuu kabisa kitu kilichofanya movie hii ivutie zaidi na kutochoka kuitizama..kikubwa zaidi kilichonvutia kwenye movie hii niuhalisi aliouvaa marehemu SHAROMILLIONE ambao wengi tushazoea kumuona akiigiza filamu za vichekesho ila humu ameigiza kama muigiza wakawaida na amefanikiwa kuuva uhalisia vizuri..
Kwenye movie hii pia yupo YUSUPH MLELA  NA JOKATE nawengineo wengi..
Humu ndani sharomilionea(JUMA) aliigiza kama kijana asiyekuwa nauwezo wakifedha na pia nimvuvi ambaye alikuwa hanabahati pindi aendapo kuvua samaki baharini.
Pia aliigiza kam akijana mwenye hadithi nzuri zakuvutia kitu kilichosababisha kupendwa zaidi na Binti Amina(Jokate) katika filamu hii Jokate kaigiza kama Kwajina AMINA binti aliyempenda Sharomillionea(JUMA)lakini gafla ndoto zao zakuoana zilizimwa nakija Yustus(Yusuph Mlela) aliyeigiza kama kijana wakijijini mwenye maisha mazuri alipendendwa sana na baba yake AMINA.Kutokana na uwezo aliokuwa nao YUSTUS Amina alilazimishwa kukubali kuolewa na YUSTUS na kuachana na JUMA ambaye alikuwa na masikini.
Nisiumalize uhono wote itafute nawe uitizame ujue nn kilitokea.
Je JUMA alikubali Amina oelewe na YUSTUS???
Je YSUTUS alikubali Amina abakie kwa Juma???

Tizama kipande hiki cha video kutoka kwenye filamu hii