Header Ads

test

UTENGENEZWAJI WA SIMU KUANZIA 1983-2012

Wengi Wetu Tunatumia vifaa vingi vya teknolojia lakini kwabahati mbaya huwa hatujui kuhusu historia fupi za vitu hivyo kwahiyo basi nimeamua niwe nawaletea makala maalum kuhusu vitu mbalimbali ambapo wiki iliyopita tulianza na FACEBOOK,AMPHICARS Na sasa ni Kuhusu meseji na simu embu ungana nami kwenye maelezo haya na picha hizi kuhusu utengenezwaji wa simu..

1983

Motorola DynaTAC 8000X

Analog Motorola DynaTAC 8000X .hii ndo ilikuwa simu ya kwanza kabisa duniani

1989

Motorola MicroTAC 9800X


1992

Motorola International 3200

Hii ilikuwa simu yakwanza yakuweza kushikiliwa mkononi


Nokia 1011

Hii ndo ilikuwa simu ya kwanza kutumia GSM .

1993

BellSouth/IBM Simon Personal Communicator



1996

Motorola StarTAC

Hii ndo ilikuwa simu ya kwanza ya kufunika na kufunua

Nokia 8110

Sifa ya hii simu ilitumika katika movie ya kwanza ya  Matrix.


Nokia 9000 Communicator.


1998

Nokia 9110i.


Nokia 5110

Ilipotengenezwa na kuingia sokoni iliuza sana katika miaka hiyo bila shaka labda nawewe umeshawahi kuitumia

1999

Nokia 8210

Simu hii ilipendwa sana kwamuundo wake lakini ilichukiwa kwaudogo wa screen yake.


Nokia 7110

Hahahahahah hii ndo simu ya kwanza kutengenezwa iliyokuwa na interenet japo ilikuwa black n white.

Nokia 5210

nokia wametoka mbali kwelikweli.

Benefon Esc!

Hii ndiyo simu yakwanza kabisa kuwa na GPS ilikuwa ikitumia satelite nailiuza sana huko ulaya.

Samsung SPH-M100 Uproar

Hapa ndipo samsung walipojitokeza kwakutengeza simu yakwanza kabisa yenye kuweza kucheza nyimbi MP3.

Nokia 3210

simu yakwanza kabisa pasipo antena

2000

Ericsson R380

Hii ndo simu ya kwanza kabisa iliyokuwa na touchscreen japo ilikuwa ni black n white.

Nokia 3310

Moja ya simu ambayo iliuza zaidi duniani kwamiaka hiyo hata mm nilishawahi kuitumia

Ericsson R320

Hii ndo simu ya kwanza iliyokuwa na uwezo wa internet na ilyoweza kutengenezwa .

2001

Nokia 5510

hii ndo simu yakwanza kuwa na  QWERTY keyboard. pia ilikuwa na uwezo wa s 64mb zakuifadhia nyimbo

Nokia 8310

Hii ndo simu yakwanza kabisa kuwa na INFARED,CALENDAR NA REDIO.

Ericsson T39

Simu ya kwanza kuwa na BLUETOOTH.

Ericsson T66


Ericsson T68

Simu ya kwanza kuwa na rangi

Siemens S45



2002

Nokia 3510(i)


Nokia 7650

simu yakwanza kuwa na kamera.

Sony Ericsson P800

simu yakwanza yenye rangi na nauwezo wa TOUCHSCREEN.

Nokia 6100

ilikuwa na uwezo wa internet na rangi.

Nokia 6310i

Simu yakwanza iliyosifika kwakukaa na chaji mda mrefu zaidi.

Sanyo SCP-5300

simu ya kwanza kuwa na camera ya mbele.

2003

Nokia 1100

simu nyingne iliyouza zaidi duniani

Nokia N-Gage

Simu yakwanza kuwa na game

PalmOne Treo 600

Nokia 2100


Nokia 6600

Simu yakwanza iliyokuwa na operating system ya symbian

BlackBerry Quark 6210

blackberry yakwanza

BlackBerry 7210

BlackBerry yakwanza kuwa narangi

Nokia 7600

simu yakwanza kuwa nauwezo wa wa 3G

2004

Motorola Razor V3


Sony Ericsson P910

simu yakwanza kuwa nauwezo wote wa intanet

Nokia 7610

simu ya kwanza yakamera iliyokuwa nauwezo wa 1megapixel.

Nokia 3220

simu yakwanza kutoka nokia ikiwa nauwezo wote wa kuperuzi.

Nokia 6630

simu yakwanza kuwa na roaming.

Nokia 7280

simu iliyotajwa kuwa simu bora kwamwaka ya 2004.

2005

Nokia 1110

simu iliyotumika zaidi katika nchi zinazoendelea ikiwemo TZ.

Nokia 6680

simu iliyochukua mda mrefu katika utengenezwaji wake.

HTC Universal

simu yakwanza kuwa na windows mobile system.

Motorola RAZR V3 Magenta


2006

HTC TyTN 100


Nokia N73



Motorola Q

ilitengenezwa kuipiku blackberry kwamiaka hiyo

BlackBerry Pearl.


KDDI Penck

inapatikana japan tuu

O2 XDA Flame

simu yakwanza kuwa na processor mbili

LG Chocolate KG800


Samsung i607 BlackJack

blackberry waliwashtaki samsung kwamuundo huu wasimu najina pia kwani zilifanana nabidhaa zao

Nokia E62

ilitengenezwa kwawafanyabiashara

2007

iPhone

ndo iphone yakwanza duniani mwaka 2007


LG Prada KE850


LG Voyager

ilitengenezwa kuipiku iphone

HTC Touch

nao walitengeneza hii kujibu mapigo ya iphone

Motorola RAZR2 V9



Motorola Q9H


Nokia E90 Communicator

smartphone ya kwanza iliyokuwa katika muundo wa mfuatano

Nokia N95

smartphone maarufu zaidi.

Helio Ocean


LG Shine


Motorola RAZR2

simu ya kwanza kuwa na opera

Palm Treo 755p

moja yasimu nzuri sana ambazo mm pia nimeshawahi kuzitumia

LG Viewty

simu iliyotengenezwa kama kamera ina 5megapixels

2008

iPhone 3G

iphone ya pili


LG Vu



T-Mobile G1 Phone

simu ya kwanza kuwa na android system

Nokia N96


Nokia 5800 XpressMusic


LG Secret


Samsung Instinct

ilitengenezwa kuipiku iphone 3G ikiuzwa kabei rahisi kabisa

BlackBerry Storm

moja yasimu nzuri kabisa iliyotengenezwa kujibu mapigo ya iphone 3G nilishapata bahati yakuitumia pia iko katika muonekano wa iphone nanimoja wapo ya blackberry inayokaa na chaji zaidi

BlackBerry Bold

Blackberry yenye 3G na QWERTY keyboard.

Samsung Behold

ilitengenezwa ikiwa na uwezo wakuonesha picha vizuri zaidi kushinda iphone

Samsung Gravity

yakwanza ya kuslide kutoka samsung

Motorola Krave


Samsung Omnia


Nokia E63.

LG Dare

simu yakwanza iliyowezeshwa kuandika mesjeji kwakutumia mkono

Sony Ericsson W760i



Nokia N79


HTC Touch Diamond


LG KC910 Renoir


Nokia E71


2009

Prada II or LG KF900


LG Arena


BlackBerry Curve 8900


LG Versa


Sidekick LX 2009

simu yakwanza kuwa nahuduma zote za mitandao ya kijamii

Samsung Magnet


LG Xenon.


HTC Magic


HTC Touch Diamond2


Samsung Propel Pro


LG Rumor2


Motorola Renew


Coming Soon

Palm Pre


Nokia N97


Omnia HD/Samsung i8910.


Hitachi WOOO Ketai H001 Phone

simu pekee zinazouzwa japana

Panasonic P001

Walkman Phone Premier3


Casio 001


S001 Sony Ericsson Cyber-Shot


Toshiba T001


Kyocera K001 Junior Phone

simu hii ninzuri zaidi ukimnunulia mwano kwani inauwezo wakukuonesha wapi alipo nakuzia asitumie intanet na baadhi ya website usizozitaka.


2010

2011

2012

 


makala haya yameandalia na MOLLELPIXELS..
kama unaswalilolote au ungependa kuandaliwa makala yeyote yahusuyo teknolojia unaweza kutuinbox kwenye page yetu  au kuminbox mollelpixels mojakwamoja kupitia fanpage yake ya 
MOLLELPIXELS  au tembelea blogsite yake ya GO BEYOND THE TECHNOLOGY