Header Ads

test

UWONGO WA NAPE WAGUNDULIKA

Katika moja ya magroup makubwa kabisa ya kisiasa hapa nchini yaliyopo facebook basi moja wapo nihili la CHADEMA vs CCM..Katika group hili moja ya post ilipostiwa na Nape Moses Nnauye alipost picha ya katibu mkuu wa chadema dr.slaa akiwa katika jezi ya ccm huku akiandika "Believe me when i say; there's CCM in all of Us...!"
 HII HAPA PICHA YA POST HIYO


Baada ya hapo watu waliungana kuchangia maoni juu ya post hiyo ..

Ilichotokea baada ya mda mfupi alijitokeza mmoja wa mablogger wa arusha aitwaye SeriaMtoto WikiLiks Tumainiel
Nakupost picha mbili zilizoungana zikionesha alichokifanya NAPE ikiwanikuibadilisha picha ya dr.slaa aliyovalia gwanda la CHADEMA na nyingne aliyovalia nguo za CCM ukitizama kwauzuri picha hizo utagundua kuna mchezo uliofanyika wa kubadililisha rangi ya gwanda hilo na kuiwekea nembo ya CCM kwawataalam huwa wanasema photediting
embu itizame picha hii ya seria kwaumakini


 Je unadhani ninini kinaendelea hapa????