Header Ads

test

KAULI YA DOGO JANJA BAADA YA KUFELI FORM 2


Jana kupitia clouds fm mtangazaji kipenzi cha wengi Millard Ayo alitoa habari kuhusu kufeli mitihani ya kidato chapili kwa dogo janja au kwajina lingne janjaro mtanashati nahivyo kushindwa kuendelea na masomo ya kidato chatatu.
Baada ya Dogo Janja kurudi kutoka South Afrika alipoenda kufanya show zake alifunguka km ifuatavyo kupitia acount yake ya facebook
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Mara Nyingine, Tena,Baada ya kurudi katika Nchi yangu Salama,bila ya Tatizo lolote. Lengo la Safari yangu ya South Africa...Ilikua Sio kwa ajili ya Maislai tu bali na Kuipeperusha Bendera ya Tanzania,Nikiwa kama Mojawapo ya Mabalozi ambao wanaweza kuiwakilisha Tanzania Nchi za Nje,Na baada ya Kurudi Tanzania nimefika leo tarehe 26/03 nlitoka Nje ya Uwanja wa ndege wa kimataifa Mwal.Julius Kambarage Nyerere... Nliingiwa na Furaha sana baada ya Kuona Ndugu zangu WaTanzania Wafanya Kazi Wa Aiport,Madereva Tax,Na wengine ambao walikuja kuwapokea Ndugu zao Kuona Wakinichangamkia na kunipa Mkono wa Pongezi,Na kunishurukuru ya kwamba "TUNASHUKURU KWA KULITANGAZA TAIFA LETU LA TANZANIA" hivyo niliingiwa na Furaha tele Moyoni Mwangu nikahisi ya Kwamba Watanzania watakua wamefurahia,nliweza kuchukua usafiri mpk nyumbani ninapoishi baada ya kuchukua maji kuingia bafuni na kuoga nikaweza kupata chakula cha jioni,Hali yangu ya Furaha ilibadilika na kuwa ni ya Majozi,na Maumivu makali ndani ya moyo wangu,ivyo nlijisikia mpweke sana kuona baadhi ya Watanzania Wenzangu..kuendelea kunivisha nguo za majozi,katika Mitandao ya Kijamii,,,Gumzo lililoko katika Mitandao ya Kijamii. JANJARO AMEFELI,JANJARO­ AMEFUKUZWA SHULE,na MPAKA KUFIKIA HATUA MADEE KWENDA KWENYE VOMBO VYA HABARI,NAKUSEMA­ NLIWAAMBIA HUYO MTOTO HAPENDI SHULE.. Kitu ambacho kwamba si Cha ukweli ninaomba niwafahamishe WaTANZANIA,, KESI YANGU MIMI NA MADEE.. Inahusu PESA na sio SHULE,Na Kama ingelikua ni SHULE kusingekua. Na MGOGORO,, ninachoomba MADEE HAPASWI kwenda kwenye vyombo vya habari kufanya interview ya Aina yoyote kuhusu mimi JANJARO.. Kwani nkisikia ananiongelea nakumbuka Machungu ya Pesa Zangu Kwani yeye alinichukia na Kunilia Haki Yangu,,, Bdo anawashawishi waTanzania Wanichukie?????? Mimi npo katika MANAGEMENT YA MTANASHATI.. Anaepaswa kunizungumzia mimi katika Vyombo Vya habari ni (MTANASHATI)/(OSTAZ JUMA NAMUSOMA) kwani Yeye ndio anasimamia Shughuli Zangu na Ndie nnaemtambua kama BOSS WANGU. Naipenda TANZANIA,Nawapenda WATANZANIA,nawapenda WASANI WENZANGU WOTE,TANZANIA Ni NCHI YA AMANI SANA.aaaaah WATANZANIA JANJARO APATE AMANI KWANI YOTE NI MAISHA,KUPATA Na KUKOSA NI MIPANGO YA MWENYEZI MUNGU ila MSINGI ulio jengwa na MSIMAMIZI wangu wa KWANZA haukua MSINGI IMARA,,bt All I can Say about da xul is dat a do lov skulin very much and I even can't explain how hapy am I abot school I only understand aba ma salf coz wara I alwayz do its ol abou ma life Ila Kuna Watu Wanajaribu kunikwamisha nisiendelee kuhusu Shule ili Malengo yao yatimie Na waonekane kuwa wa kweli...ila Shule ni Raha sanaaaa.. One lv.