MTANZANIA MPIGA PICHA ZA UTUPU
Â
Ida mwenye maskani yake California, Los Angeles, Marekani, amekuwa
gumzo kwa miaka kadhaa tangu alipokubali kwa hiari yake mwenyewe
kufotolewa picha za ‘eksi’ na kujiingizia mamilioni.
Ida ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 29, alizaliwa na mama Mtanzania na baba Mswidishi Septemba 27, 1981.
Alitisha mwaka 2008 alipofanikiwa kushinda kupiga pozi akiwa mtupu kwenye jarida maarufu la Playboy.
Post a Comment