Header Ads

test

Haya ndiyo mabishano ya kisiasa yanayoendelea facebook baina ya Ridhiwani,Kimeta,Bananga,Nchemba na Wananchi wengine

Katika post iliyovutia wengi facebook kwajana mida ya usiku ilikuwa nihii iliyokuwa namajibizano ya kisiasa baina ya Ridhiwan Kikwete, Mwingulu Nchemba,Ally Bananga,Kimeta Wa Mpui Na Watanzania Wengine