Header Ads

test

MTZ MWINGNINE AJITOKEZA NA KUDAI HABARI ZA KIFO CHA MANGWEA SIO SAHIHI HAZIJADHIBITISHWA NA DOKTA

Wakati WaTZ wakiwa katika simanzi muda huu na wengi wakiongelea hisia zao tofautitofauti kuhusu kilichomuua msanii Mangwea huko Twitter kuna Mtanzania amabaye amejitokeza na kutweet kuwa habari hizo za kifo cha Msanii Mangwea hazijazibitishwa na kuwa mangwea yuko hoi Hospitalini yeye pamoja na msanii mwenzake MP2THEP ila bado dokta hajadhibitisha kama kweli msanii huyo ameaga dunia japo kakiri ni kweli alizidiwa na madawa.