MSANII NGWAIR AFARIKI DUNIA
HABARI zilizotufikia na zilizoenea katika mitandao ya kijamii zinadai msanii MANGWEA amefariki dunia huko South Africa chanzo kinadai kuwa Msanii ALBERT MANGWEA (Ngwair), amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini,
rafiki anasema hakuamka toka jana alipolala. kwa habari tulizopata
ambazo sio rasmi nikuwa alijioverdose kwa kutumia madawa ya kulevya.
TUTAZIDI KUFUATILI HABARI HII.
TUTAZIDI KUFUATILI HABARI HII.
Post a Comment