COMEDY:VIDEO Tizama na Sikiliza remix ya HERO ya Enrique Iglesias iliyoimbwa kwa lafudhi ya kichaga wakisifia mbege.
Je Ushawahi Kusikiliza na kutizama Remix Ya HERO ya Enrique Iglesias
hii hapa..Wameibadilisha kisha wakasifia MBEGE embu itizame ufurahie..
Niubunifu tosha kutoka kwa vijana wetu wa hapahapa nyumbani kupitia kipindi chao cha PIKABOM cha startv.UNGANA nao Facebook kwa kubinya link hii
www.facebook.com/pages/Pikabompuppet-show/138809776260796

Post a Comment