Header Ads

test

KUHUSU TOLEO JIPYA LA SIMU AINA YA iPHONE 6.

Kwasiku za hivi karibuni kumeweza kuvujishwa kwa baadhi ya picha mitandao ikioneshamatengenezo na muonekano halisi wa simu mpya za iPhone 6 hasa baada ya kutoka kwa iphone 5s,,

Kwafununu za chinichini inasemekana kwamba simu hii itazinduliwa rasmi mwakani 2014.
mpaka sasa wataalamumbalimbali wanachora michoro yao binafsi kubumi jinsi APPLE watakavyotengeneza iPHONE6..
inasemekana inaweza ikawa ninyembamba zaidi,yenye uwezo mkubwa wakupiga picha,isiyoingia maji,yenye kuonesha upande wa pili wa simu,isiyokuwa na button hata mmoja zaidi ya zile za kugusa kwenye screen,itakuwa imara sana, labda wataweka button za kuslide kwachini kabisa kuwezesha watumiaji wake kuweza kucheza games vizuri,
tizama baadhi ya picha






embu tizama video hii ili uweze kujiona mwenyewe...