Video: What happens during Sex - Ovulation, Ejaculation, Fertilization - Very Informative and Educational
Kuna vitu ambavyo
tukiwa kama binadamu inabidi tuwe tunavifahamu mana vinatuhusu nanjia
nzuri ya kuelewa kitu ni kupitia utazamaji Embu basi tumia dakika zako
nane kuitizama video hii nzuri kabisa yenye maelezo ya kutosha
inayoonyesha haswa kuhusu jinsi utungwaji wa mimba unavyotokea kuanzi
sehemu ya kwanza ya ufanyaji wa mapenzi hadi ehemu ya utungaji..
Post a Comment