Header Ads

test

KATIKA MAKALA: Kutana na José Mujica Raisi Masikini kuliko wote duniani.

Leo katika Makala ya siasa namleta kwenu Raisi masikini kuliko wote duniani anaitwa José Mujica
Kwamajina Kamili naitwa José Alberto "Pepe" Mujica Cordano ni raisi wa Uruguay Tokea mwaka 2010..Alizaliwa 20 May 1935..
Raisi huyu kwa mwezi anapokea mshahara wa dola $12,000 kwa mwezi  lakini cha ajabu kabisa raisi huyu hutoa asilimia 90% ya mshahara wake kama sehemu ya msaada kwa wananchi wake wasiojiweza na hivyo kupokea mshara wa dola $775  hivyokumpelekeakuwa moja ya maraisi masikini zaidi ulimwenguni..
 Baada ya kuapishwa kuwa Raisi wa Uruguay alikata kuishi ikulu na kwenda kuishi nje ya kidogoya mji mahalipalipo shamba la mke wake.. Kitu cha thamani anachomiliki Raisi huyu ni gari aina ya Volkswagen Beetle, yenye Thamani ya dola $1,945..
Raisi Mujica alishapigwa risasi zaidi ya mara sita na kufungwa jela kwa zaidi ya miaka 14..

Haya ni baadhi ya maneno Ambayo aliyasema akiwa anahojiwa na kituo cha habari cha BBC
 "I'm called 'the poorest president', but I don't feel poor. Poor people are those who only work to try to keep an expensive lifestyle, and always want more and more," he says.
"This is a matter of freedom. If you don't have many possessions then you don't need to work all your life like a slave to sustain them, and therefore you have more time for yourself," he says.
"I may appear to be an eccentric old man... But this is a free choice."
The Uruguayan leader made a similar point when he addressed the Rio+20 summit in June this year: "We've been talking all afternoon about sustainable development. To get the masses out of poverty.
"But what are we thinking? Do we want the model of development and consumption of the rich countries? I ask you now: what would happen to this planet if Indians would have the same proportion of cars per household than Germans? How much oxygen would we have left?
"Does this planet have enough resources so seven or eight billion can have the same level of consumption and waste that today is seen in rich societies? It is this level of hyper-consumption that is harming our planet."




 Hapa ni akitembea mtaani,
 Huwa hana haja ya kwenda kinyozi hapa ni akinyolewa nyumbani
 Katika vitu vya thamani anavyovimilik basi ni gari hili
 Moja ya picha yake akiwa shambani kwake.hata sox hajavaa.lol
 
Hii ndiyo nyumba anayoishi
 
 Nahii ndiyo picha ya ikulu aliyokataa kuishi
 Hapa ni akiwa anachuma mboga shambani

TIZAMA VIDEO YAKE HAPA