Header Ads

test

Jinsi Ya Kuifanaya Blog Yako Iweze Kuonekana Google Kwa Urahisi

Habari...
Kama Tulivyohaidigi kwa wengi kwamba tutawaonesha jinsi ya kufanya Blogs/Website zao ziweze kuonekana Google kwaurahisi basi tumeamua mafunzo haya tusitoe kwa watu wachache tuu bali tuitoe hewani ili iweze kuwa manufaa kwa bloggers wote..

Somo hili la leo kwa kiingereza linaitwa Search Engine Optimization (SEO) sasa sijui kwakiswahili tukifupisha tutaitaje..lol  SEO nisomo pana sana tena sana ambalo kila blogger anahitaji kulijua.. usione blogs kama BONGOCLAN inatembelewa sana ukajiuliza inakuaje nayako haitembelewi hivyo..
Kipindi nilipokuwa na blog ya MOLLELPIXELS hivyi ndivyo nilivyokuwa ikitembelewa kwakila dakika..

Mafundisho haya nitayatoa kupitia mifano ya blog ya BONGOCLANTZ na NYUMBAYAHABARI


Sasa Tuanze somoletu rasmi kwakuangalia kipengele cha kwanza..

1.SUBMIT YOUR BLOG TO SEARCH ENGINES
   Nimeshindwa kuielezea hiko kichwa vizuri lakini nitakifafanua vizuri hapa search engine nini search engine ni sehemu yeyote ile inayohiska kuhifadhia maelezo katika intaneti yani kuhifadhia online mfano wa search engine ni Google, Bing, Pedia n.k ziko aina mkuu mbili za search engine namba moja ni search engine ambazo ni bure na search engine ambazo nizakulipia.. mpaka hapo utakuwa umewezakunielewa kidogo.
  - Hapa nitatoa link utakazo zisoma mwenyewe iliuweze kusubmit blog yako kwa urahisi zaidi.

2. META TAGS
    Hii nayo ni sehemu muhimu sana katika blog maana baada ya kusubmit blog yako search engine wenyewe watatembelea blog yako sasa wakisha tembelea vitu muhimu vya kuvikuta katika blog yako ni Meta Tags.
   Meta Tags niufupi wa maelezo kuhusu blog yakona pia ndo maelzo ya kuzieleza search engine je mtu akitafuta blog yako katika google ama bing je atumie maneno gani kutafuta blog yako.. Meta Tags zinasehemu kuu Mbili
    <1> sehemu ya kwanza ni  Description yani maeleo ya blog yako au hii nitofauti kidogo na Title.
    <2>sehemu ya Pili ni KEYWORDS Hapa ndipo pa muhimu kabisa sasa keywords nisehemu ambayo      unatakiwa uandike maneno mafupimafupi ambayo mtu akitaype katika google zitaweza kuivuta blog yako na nilazima kila neno liwe linahusiana na blog yako. Tizama mfano huu wa meta tags kutoka blog hii
   Tizama mfano wa meta tags kutoka BONGOCLANTZ

ako ujue blog yako inahusu nini na inamaelezo gani nisawa na kumuelezea askari polisi.. je askari polisi utamelezea vipi!! descriptiion(maelezo ya askari polisi) Nimwanausalama anahusika kusimamia amani ya nchi na wananchi je Keywords za askri ni zipi!! Keyword(Utambulisho) wa askari ni pingu,karandinga,rungu,bunduki,jela,kituo cha polisi, buti, saluti,ukakamavu,upendo n.k.
Kabla ya kutengeneza Meta Tags nilazima ufahamu zaidi kuhusu blog y
Kwamafano blog yangu inaitwa HABARIMAALUMU.maelezo ya blogu hii yatakuwa ni PATA HABARI ZA KILA SIKU 24 HOURS, Habari zitakazo letwa na blogu hii ni habari za siasa,michezo,kitaifa,kimataifa,utabiri n.k.  sasa angalia nitakavyopangilia meta tags za blog hii

<META NAME="Description" CONTENT="PATA HABARI ZA KILA SIKU 24 HOURS" />
</b:if>
<META NAME="Keywords" CONTENT="siasa,michezo,kitaifa,kimataifa,utabiri" />
<META NAME="Robots" CONTENT="All" />

JINSI YA KUWEZA KUTENEGEZA META TAGS KWAKUFUATA MAELZO NAMIFANO NILIYOTOA BINGA LINK HII http://www.mybloggertricks.com/2010/06/meta-tag-generator-tool-for-blogger.html

3.VERIFY YOUR BLOG
   Kuverify blog nisawa na kuiambia search engine kwamba hii blog niyakwangu na ushahidi huu hapa.
Sehemu kuu za kuiwakilisha blogu yako ni Google Webmasters Tools Or Bing Webmasters

Kwamaelezo ya kina tembelea
http://www.helperblogger.com/2012/04/how-to-verify-your-blog-on-googlebing.html

4.GOOGLE YAHOO ALEXA ANALYTICS
y Google Webmasters Tools Or Bing Webmasters.
y Google Webmasters Tools Or Bing Webmasters.

Analytics hizi  zitakusaidia kufahamu
  • Watu wangapi wametembelea blog yako
  • mara ngapi watu wanatembela blog yako
  • Post ipi ndo imesomwa sana
  • Waliotafuta blog yako wameitafutaje mpaka wakaipata kupitia search engines
  • wasomi wa blog yako wanatokea wapi
Jinsi yakuweka alexa kwenye blog
 http://www.techfinite.net/2013/08/how-to-add-alexa-widget-and-review-Widget-in-Blogger-blog.html

Jinsi yakuweka google analytics
http://www.blogsbyheather.com/2012/04/how-to-install-google-analytics-on-blog.html

kwayahoo ni
https://login.yahoo.com/config/login_verify2?.done=https://reports.web.analytics.yahoo.com/IndexTools/servlet/IndexTools/template/Login.vm

4.SHORTEN URL POSTS(PERMANENT LINK)
   Hapa napo nipamuhimu san tena sana na wengi huwa wanakosea wanapost habari afu url yake inakuwa nindefu pasipo kujua kuwa inaathiri upatikanaji wa post hiyo kwenye google..nimakosa sana kuwa nakichwa cha habari cha blog na url..
Kisheria kabisa kila post inatakiwa iwe na url yeka(link),maelezo yake(post title) maelezo yake tizama mfano huu kutoka BONGOCLANTZ


Picha hii ni screenshot ya sample ninayotaka uitizame kutoka bongoclan.. tizama url yake na tittle nivitu viwili tofauti ila url aliyoiandika ni bhakresa na tille ya post inaelezea kuhusu mtoto wa bhakresa.
url ikiwa ndefu ukiipost kwenye mitandao yakijamii km facebook nihatari mno naunaweza kublockiwana facebook ama twitter ila ukipost url fupi inakuwa nzuri zaidi na inakuwa karibu zaidi na search engine tizama
mfano wa post hii
kwa mfano rahisi ninapost nitakayoipakichwa cha habari MAMA MJAMZITO AJIFUNGULIA NDANI YA GARI AKIWAISHWA HOSPITALINI sasa kwenye permanent link nitaiandika MJAMZITO au MAMAMJAMZITO hakikisha huruki nafasi na huandiki kwa herufi kubwa.

Jinsi ya kuweka weka url fupi.
 ukishaingia sehemu ya kupost  tizama upande wako wakulia utaona hii kitu hapa..hapo ndo utakapoweza kuweka hiyo url


5.POST DESCRIPTION(SEARCH DESCRIPTION)
Hii nayoniyamuhimu sana na huwa nitofauti na post title(Kichwa cha habari) hapa utaweza kuelezea kwakifupi kuhusu post yako nzima mfano wapost hii MAMA MJAMZITO AJIFUNGULIA NDANI YA GARI AKIWAISHWA HOSPITALINI kwenye maelezo nitaandika KUWEPO KWA VITUO VYA FYA MBALI NA WANANCHI YAPELEA MAMAMJAZITO KUJIFUNGULIA NJIANI HUKO SHINYANGA VIJIJINI. tizama mfano mwingine.
Post title: FREDY TONY AKABIDHI ZAWADI YA USHINDI KWA DAVID MOLLEL.. sasa kwenye Description(Maelezo) nitaandika HATIMAYE LILE SHINDANO LA BLOGGERS LIMEFIKIA MWISHO KWA FREY TONY KUKABIDHI ZAWADI YA MODEM KWA DAVID HUKO ARUSHA.
kwann nimekuambia utumia post description nikwakua mtu akisearch google jina arusha ,Mollel, Fredy,Modem, Mjamzito,Gari moja kwamoja google itaikamata ile post na kumuonesha anayeitafuta kwa ukarubu zaidi.. Hii pia ninzuri kwa zile post za COPY n PASTE copy kila kiyu ila description weka yako mwenyewe namwishowe weka link ya ile habari ulipoitoa(mwishowe ntakuonesha faida za kuweka link ya mtu unapoa toa post kwake.)


6.ADSENSE
Hii nayo niyaumuhimu sana jitahidi blog yako iwe na adsense..Njia rahisi kupata adsense nikulipia domain ambapo ni elfu 30 kwamwaka ila ukiweka adsense utakuwa unalipwa hela ndefu tuu hata unaweza lipwa zaidi ya laki tano kwa mwezi kupitia matangazo google watakayoyaweka kwa blogu yako..
Unaweza muuliza C.E.O wa BONGOCLAN aitwaye EDDI SUCRE juzijuzi tuu katumiwa laki sita na google km malipo ya mwezi ya matangazo ,usishangae ndo faida za kuwa na blogu na kuwa na adsense pia..
Km utahitaji adsense unaweza nicheck kupitia 0719366790 ukiwa na elfu 30 yako tukupatie domain na adsense.

7.BACKLINKS
Hapa ndo pale nilikuambia ukicopy habari kutoka kwamwenzako mwishoni weka link yake ni njia rahisi ya kuonesha uelewa wako na kuonesha kwamba unaheshimu kazi ya mwenzako pia inaonesha unajali na kuthamani ushirikiano wa kuruhusiana na kucopy n paste so toa credit pale inapohusika..
Kuweka link zake kwako kwake itasaidia kuweza kutembeleana kutengeneza hii kitu inayoitwa Backlinks.
kwamaelezo zaidi tembelea https://support.google.com/blogger/answer/42533?hl=en


8.LINKS EXCHANGE
Hii nayo nisehemu muhimu sana katika blogu kubadilishana link so hakikisha mnabadilishana link kadri muwezavyo mana inaongeza rankyako katika search engine.
Mfano mzuri tembelea BONGOCLAN uone link alizokuwa nazo unaweza jua niuchafu kwako ila nisehemu muhimu ya blogu yake kufanya vizuri.



8.TEMPLATES
kuna template zinaua upatikanaji wa blogu yako kwenye search engine kwa urahisi so hakikisha template yako iko clean na sio nzito sana..

Ukiweza kufuata hatua hizo utaweza kujihakikisha maendeleo makubwa ya kutembelewa kwa blogu yako hadi ushangae.

Shukrani kwawote walionipigia kura na hii ndo zawadi yenu kwenu nyote
Hadi muda mwingine tena..
Mwenyezi Mungu awabariki nyote
Mollel